Usalama Kasi Ripoti Rekodi Safi

Dhibiti Mikopo kwa Urahisi — Wateja, Riba, Marejesho & Ripoti.

Faulink Mikopo ni mfumo wa kisasa wa kusimamia mikopo: wateja, mkopo uliotolewa, riba/rate, muda wa mkopo, marejesho (daily/weekly/monthly), madeni, na ripoti za utendaji wa biashara.

Daily
Marejesho ya kila siku
Weekly
Marejesho ya wiki
Monthly
Marejesho ya mwezi
Reports
Ripoti kwa muda wowote

Quick Start
Login / Register / WhatsApp

0693 118 509
Uwazi • Uaminifu • Ripoti
Ratiba za Marejesho (Daily/Weekly/Monthly)

Sifa Kuu

Rekodi sahihi + ufuatiliaji wa madeni + ripoti — kwa muonekano wa kibiashara.

Wateja
Sajili mteja, historia ya mikopo, na hali ya marejesho.
Riba & Rate
Riba kwa % na muda wa mkopo — hesabu zinakuwa sahihi.
Ratiba ya Marejesho
Daily/Weekly/Monthly — mfumo unaonyesha kiasi kinachotakiwa.
Malipo
Rekodi malipo, salio, na madeni yaliyobaki kwa mteja.
Madeni & Alerts
Ona wateja wenye deni/late — fanya ufuatiliaji mapema.
Ripoti
Ripoti za mikopo iliyotolewa, marejesho, faida, na baki.

Inafaa Kwa Nani?

Mfumo wa mikopo unaoendana na biashara nyingi za Tanzania.

Wafanyabiashara
Mikopo midogo, marejesho ya kila siku, ufuatiliaji wa salio.
Microfinance / Taasisi ndogo
Uendeshaji wa mikopo kwa mpangilio na ripoti za uongozi.
Vikundi & VICOBA
Marejesho ya wiki/mwezi, ufuatiliaji wa wanachama.

Jinsi Inavyofanya Kazi

Hatua 3: Register → Sajili wateja → Toa mikopo & fuatilia marejesho.


Unda Akaunti
Jisajili kisha ingia kwenye dashboard.
Sajili Wateja
Weka taarifa za mteja na vigezo vya mkopo.
Toa Mkopo & Fuatilia
Ratiba + malipo + ripoti zinapatikana muda wowote.

Ushuhuda

Maneno mafupi ya wateja (unaweza kubadilisha maandishi).

“Ripoti ziko wazi sana.”
Sasa naona marejesho na salio la kila mteja bila usumbufu.
— Mteja (Biashara ya Mikopo)
“Marejesho ya daily yamekaa vizuri.”
Ufuatiliaji wa late customers umekuwa rahisi mno.
— Msimamizi
“Muonekano ni professional.”
Nimeongeza uaminifu kwa wateja wangu kwa receipts & records.
— Owner

Maswali

Majibu mafupi kuhusu mfumo wa mikopo.

Unaweza kuweka marejesho daily, weekly au monthly. Mfumo unaonyesha kiasi kinachotakiwa na salio.

Bonyeza Register kisha ingia kupitia Login.

Ndiyo — bonyeza Faulink.com kuona mifumo mingine.

Mawasiliano

Kwa msaada wa kuanza au kuset mfumo — wasiliana nasi WhatsApp.

0693 118 509 Mifumo Mingine
*Kwa PC: hakikisha WhatsApp Web ime-login.